Home » » Msigwa- Daudi Mwangosi Ni Shujaa

Msigwa- Daudi Mwangosi Ni Shujaa


Mbunge wa Iringa mjini-Chadema akihutubia umati wa wakazi wa Iringa mjini,waliofika kumsikiliza jioni ya leo katika viwanja vya soko kuu Iringa.


                                                            Sehemu ya umati

                                 Baadhi ya mabango yenye jumbe mbalimbali


Mbunge wa Iringa,mjini kupitia chama cha Demokrasia na Maendeleo- CHADEMA,jioni ya leo amehutubia umati mkubwa wa wakazi wa Iringa.Katika hotuba yake, Msigwa amesema kuwa, hayati Daud Mwangosi ni shujaa ambae atakumbukwa daima.

Picha na: www.mjengwablog.com

0 comments:

 
Blogs za Mikoa
Copyright © 2012. Iringa Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa