Home » » KIZIMBANI KWA MAUAJI YA MWANGOSI

KIZIMBANI KWA MAUAJI YA MWANGOSI


Askari polisi anayetuhumiwa kumuua kwa silaha mwandishi wa habari wa kituo cha Channel Ten, Daudi Mwangosi, amefikishwa mahakamani leo mkoani Iringa akikabiliwa na kesi ya mauaji.
Chanzo: IPPMEDIA

0 comments:

 
Blogs za Mikoa
Copyright © 2012. Iringa Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa