Wanachuo Mkwawa wakiwa wamepanga mawe barabara ya Iringa - Pawaga eneo la lango kuu la chuo hicho kushinikiza matuta
Mtandao huu wa www.francisgodwingodwin.blogspot.com umeshuhudia hali hiyo jioni ya leo baada kufika eneo hilo .
Taarifa zaidi juu ya uamuzi wa wakala wa barabara mkoa wa Iringa juu ya uamuzi huo wa wanachuo kuziba barabara kutaka matuta itakujia kesho baada ya leo kutomta msemaji wa juu ya Tanroads mkoa wa Iringa ili kuzungumzia hali hiyo
Picha zote kwa hisani ya Francis Godwin
0 comments:
Post a Comment