Home » » Naibu Waziri wa Maji Mhandisi Gerson Lwenge Azindua Mradi wa Uvunaji Maji ya Mvua Iringa

Naibu Waziri wa Maji Mhandisi Gerson Lwenge Azindua Mradi wa Uvunaji Maji ya Mvua Iringa


 Mkurugenzi wa Mahusiano na Mawasilino wa Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL), Teddy Mapunda akifafanua jambo kwa waandishi wa habari muda mfupi baada ya kuwekwa jiwe la msingi la mradi huo uliopo katika Hospitali ya Wilaya ya Iringa katika eneo la Frelimo.
 Naibu Waziri wa Maji Mhandisi Gerson Lwenge akiweka jiwe la msingu kuzindua rasmi ujenzi wa mradi wa maji uliozaminiwa na Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) kupitia mradi wake wa EABL Foundation leo katika Hospitali ya Frelimo ya Manispaa ya Iringa ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya siku ya maji duniani itakayoadhimishwa tarehe 22 Machi 2012.Kulia ni Mkurugenzi wa Mahusiano na Mawasiliano wa SBL, Teddy Mapunda na Kushoto ni Mkurugenzi wa Manispaa ya Iringa, Teresia Mhongwe. Zaidi ya watu wapatao 150,0000 wanaohudumiwa na hospitali hiyo watanufaika.

0 comments:

 
Blogs za Mikoa
Copyright © 2012. Iringa Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa