Home » » Mfahamu ASAS anayejivunia ufugaji wake mjini iringa.

Mfahamu ASAS anayejivunia ufugaji wake mjini iringa.

Salim Asas Abri akielezea kwa ufupi ni kwa namna gani Ng'ombe hao wa kisasa anavyowafuga
  Salim Asas Abri akiwa katika moja ya mazizi ya Ng'ombe wake Kijiji cha Nduli mkoani Iringa.
Pichani ni ng’ombe dume aina ya Simmental, ambao asili yake ni Amerika ya Kaskazini ambako walikuwa wakizalishwa tangu mwanzoni mwa karne ya 20.ASAS  anasema uzito wa ng'ombe huyo ambaye bado ni ndama hufikia uzito takriban wa tani moja. (Kg.1,000).
Ng’ombe wa kisasa wa maziwa anayepatikana katika shamba la ASAS mjini Iringa.
Moja ya Ng'ombe wa kisasa mwenye uja uzito akiwa amehifadhiwa sehmu yake maalum ya kuzalia
Baadhi ya farasi  wanoapatikana ndani ya shamba la ASAS la Igingilani mkoani Iringa.
Maziwa ya Ngamia yanaaminika kuwa ni maziwa mazuri sana kwa tiba mbalimbali, nao wanapatikana ndani ya shamba hilo la ASAS.Zaidi Bofya Hapa.

0 comments:

 
Blogs za Mikoa
Copyright © 2012. Iringa Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa