Home » » BREAKING NEWS: BASI LA JM KUTOKA DAR KWENDA MBEYA LAPATA AJALI ENEO LA MAFINGA JIONI HII

BREAKING NEWS: BASI LA JM KUTOKA DAR KWENDA MBEYA LAPATA AJALI ENEO LA MAFINGA JIONI HII

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. 
 Taarifa zilizotufikia katika Chumba chetu cha habari ambazo hazijathibitishwa zinasema kuwa basi la JM limepata ajali eneo la Mafinga Jioni hii. Taarifa zaidi zinasema Majeruhi wamekimbizwa Katika Hospitali ya Mafinga . Endelea kufuatilia

0 comments:

 
Blogs za Mikoa
Copyright © 2012. Iringa Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa