Home » » PICHA: WANAHARAKATI WANAOSAFIRI KWA BAISKERI KUELEKEA DAR KUTOKA MBEYA WAINUSA IRINGA, WALALA KWENYE MAHEMA NA ASUBUHI YA LEO WAENDELEA NA SAFARI.. UNGANA NASI HAPA

PICHA: WANAHARAKATI WANAOSAFIRI KWA BAISKERI KUELEKEA DAR KUTOKA MBEYA WAINUSA IRINGA, WALALA KWENYE MAHEMA NA ASUBUHI YA LEO WAENDELEA NA SAFARI.. UNGANA NASI HAPA

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. 
 
Hapa wakiwa wamekutana na kiumbe hiki kimekufa
 Hawa jamaa wapo njema sana kila mtu ana kitambulisho cha Taifa wewe je Unacho?
 Wanainusa Iringa hawa jamaaa
 Mapumziko kidogo
 Kipande cha Sao hill hawa jamaa wanakata mbuga tuu
 Wakiwa wamepaki Njinga zao huku wakinusaaa Iringa
 Walifika Kituo cha polisi kusalimia
 Hayaaaa
 Hawa Jamaa ni nouma sana sasa wamelala humuu....... na wameondoka mapema kushuka Mlima Kitonga

Ilikuwaje wakati wanashuka Kitonga? fuatilia hapa sisi tupo nao Bega kwa bega... jamaa wanaendesha hawa noma...

Picha na Iringa yetu Blog.....

Post kwa Udhamini wa Blogs za Mikoa Tanzania

0 comments:

 
Powered by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Iringa Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa