Home » » NEWS ALERT: KITU KINACHOSADIKIWA KUWA NI MLIPUKO AINA YA BOMU CHAKUTWA KIMESIMIKWA ENEO LA KITUO CHA BANGO LA COCA MAFINGA

NEWS ALERT: KITU KINACHOSADIKIWA KUWA NI MLIPUKO AINA YA BOMU CHAKUTWA KIMESIMIKWA ENEO LA KITUO CHA BANGO LA COCA MAFINGA

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. 
 Hiki ni Kitu kinachosadikika kuwa ni Mlipuko(Bomu) kikiwa kimetegwa  katika eneo la Bango la Coca karibu na Shule ya Msingi ya Amani
  Hili ni eneo la Mafinga katika Kituo cha Bango la Coca karibu na Shule ya Msingi AMANI kwmamba ambapo taarifa zisizo rasmi na ambazo hazijathibitishwa  kuna kitu kimetegwa ambacho kinasadikika kuwa ni Mlipuko mfano wa Bomu, Hata hivyo Jeshi la Polisi walifika eneo hilo tangia Asubuhi na kushindwa kutambua . mpaka sasa uchunguzi unaendelea lakini kuna Taarifa pia zinasema kwamba kitu kama hicho kimeonekana tena eneo la Mkombwe kitu hicho pia kipo. mpaka sasa kuna ulinzi wakingoja wanajeshi kutoka Makambako wafike/

Picha na Blogs za Mikoa


0 comments:

 
Powered by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Iringa Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa