Home » » TUKIO KATIKA PICHA: MSIGWA APATA RIDHAA YA WANANCHI KUONGOZA MIAKA MITANO MINGINE KITI CHA UBUNGE IRINGA MJINI.

TUKIO KATIKA PICHA: MSIGWA APATA RIDHAA YA WANANCHI KUONGOZA MIAKA MITANO MINGINE KITI CHA UBUNGE IRINGA MJINI.

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. 

Mhe. Joseph Mbilinyi mbunge wa Mbeya akiunguruma kwenye mkutano huo wa wananchi wa Iringa wa kumpa ridhaa Mbunge wao Mhe. Peter Msigwa kugombea tena kwa miaka 5 katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Octoba mwaka huu.

 Msanii wa Bongo Flava Roma Mkatoliki akinogesha mkutano huo.
Mwimbaji wa nyimbo za injili Flora Mbasha akiimba moja ya nyimbo zake kwenye mkutano huo uliofanyika leo Jumapili July 18, 2015 mjini Iringa.
 
Na Jiachie Blog

0 comments:

 
Powered by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Iringa Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa