Home » » BASI LA NEW FORCE ONE MBEYA-DAR LAPINDUKA NA KUSABABISHA VIFO LEO

BASI LA NEW FORCE ONE MBEYA-DAR LAPINDUKA NA KUSABABISHA VIFO LEO

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. 

WATU kadhaa wanadaiwa kupoteza maisha huju wengine wengi wakijeruhiwa baada ya basi la Kampuni ya NEW FORCE ONE namba za usajili T483 CTF walilokuwa wakisafiria kutoka Mbeya kwenda Jijini Da es Salaam leo kupinduka  katika eneo la Mahenge Wilaya ya Kilolo mkoani Iringa barabara kuu ya Iringa- Morogoro.

Ajali hiyo imetokea mchana huu na jitihada za kusafirisha majeruhi zinaendelea. FK Blog inatoa pole kwa wote waliofikwa na msiba huo na itawajuza zaidi kuhusiana na ajali hiyo.



0 comments:

 
Powered by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Iringa Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa