Mkuu wa mkoa wa Iringa Amina Masenza akiwa katika picha ya pamoja na watenda kazi wa R.D.O |
Filipatali akimkabidhi keki mkuu wa mkoa Masenza kwa ajili ya katibu tawala wa Iringa |
Wanawake wakiwa na furaha tele |
Mkuu wa mkoa wa Iringa Amina Masenza kulia na mwenyekiti wa UWT Mufindi Marcelina Mkini wakichota maji |
Diwani wa kata ya Mdabulo akiwa amebebwa juu juu na wanawake baada ya diwani huyo kuimba shairi lenye mvuto kwa wanawake |
Mkurugenzi wa R.D.O Bw Filipatali kulia akiuongoza msafara wa mkuu wa mkoa wa Iringa |
Mkuu wa mkoa wa Iringa Amina Masenza akiwahutubia wanawake |
Katibu wa CCM wilaya ya Mufindi Jimson Mhagama kulia na mwenyekiti wa UWT Mufindi Marcelina Mkini na mratibu wa wanawake mkoa wa Iringa mama Sanga wakifuatilia hotuba ya mkuu wa mkoa |
Watumishi ofisi ya RC Iringa wakitoa zawadi kwa ajili ya Yatima |
Wasanii wa Ibwanzi wakiigiza kama Rais |
Mkuu wa mkoa akitembelea banda ya benki ya Mucoba |
Mkuu wa mkoa akipokea risala ya R.D.O |
Kazi zinazofanywa na wanafunzi wa R.D.O |
Mwenyekiti wa sherehe za wanawake Mufindi |
Wafanyakazi ofisi ya mkuu wa mkoa wakiingia kwa maandamano |
Wanafunzi wa sekondari ya Mdabulo wakicheza igizo la unyanyasaji wa mwanamke |
Mkuu wa mkoa wa Iringa Amina Masenza akitoa msaada kwa yatima wanaolelewa na R.D.O |
Wafanyakazi ofisi ya mkuu wa mkoa wa Iringa wakitoa misaada yao kwa yatima |
Mkuu wa mkoa wa Iringa Amina Masenza akiwa na wa wafanyakazi wa RDO na viongozi wa wilaya ya Mufindi mara baada ya kumalizika kwa sherehe za siku ya wanawake duniani |
Mkuu wa mkoa wa Iringa Amina Masenza kushoto na mwenyekiti wa UWT Mufindi Marcelina Mkini wakiongoza maandamano ya wananchi Ikanga kata ya Mdabulo |
Wanawake kutoka ofisi ya mkuu wa mkoa wa Iringa |
0 comments:
Post a Comment