Iringa
HALMASHAURIya WilayayaKilolo iliyop omkoani Iringakwamud
awamiezi mitatu ime wezak uku sanyamapato ya ndanish. 295
,144,378.33kutokakwenye v yanzombalimbali vyamap atoyak eyand an i nakufikia
asili mia97 yale ng olakuk usanyamapato.
Akizungumza
jana wakati akitoa taa rifayau teke lezaji wash ughuli zaseri kal ikwakipindi c
hamieziminneofi sinikwake, M kuuwaWilaya yaKilo lo, GeraldGuni nita alisema
kuwa wilaya hiy oiliku waimejiwekeamalengoh ayona kuvukaasili mia60 .
Alise
makuwamapato hayo yameanza kukusanywa kuanzia mwezi Mei hadi Agosti mwaka huu
ambapo mapato hayo yanatokana na vyanzo vya ndani yakiwemo mbao, mazao ya
kilimo, mifugo, biashara ndogondogo na kubwa ndani ya wilaya hiyo.
Guninita
alisema kuwa katika mwezi wa Julai, Wilaya ya Kilolo iliweza kukusanya jumla ya
sh.69,014,520 sawa na asilimia 60 kwa mwezi huo pekee ambapo fedha hizo
zilikuwa zimetumika katika kutekeleza shughuli mbalimbali za wilaya na miradi
kupitia idara zake zilizomo wilayani humo za ujenzi, elimu, barabara, maji,
afya, kilimo, umeme, mawasiliano na misitu.
Alisema
kuwa katika idara ya ujenzi wilaya hiyo kwa kipindi cha mwaka 2012/2013
ilipanga kutekeleza shughuli mbalimbali ambapo baadhi ya shughuli hizo
zimekamilika ambapo jumla ya sh. 1,729,481,900 zimetumika na miradi hiyo
inaendelea kutekelezwa kuanzia kipindi cha mwezi Mei 2013 hadi Agosti 2013 na
kuwa baadhi ya kazi hizo zimekamilika.
Aliyataja
baadhi ya maeneo ambayo yamefanyiwa matengenezo ya kawaida na ya kudumu katika
barabara kuwa ni jumla ya kilomita 54 ambapo kutoka Idete kwenda Kiwalamo hadi
Kimara kilomita 16 zimetumia sh. 189,960,000, barabara ya Makungu hadi Mlafu
kilomita 6 imegharimu sh.mil 86,barabara ya kutoka Ihimbo kwenda Kitelewasi
kilomita 20 imegharimu sh. milioni 285, barabara ya Ruaha Mbuyuni kwenda Msosa
kilomita 7 imegharimu sh.53,607,000 ambapo barabara ya kutoka Ukumbi kwenda
Pomerini kilomita 5 imegharimu sh.milioni 20.
“Ujenzi
wa madaraja mawili na vivuko vya barabara ya Idete, Kimara hadi Kiwalamo
tumejenga madaraja makubwa mawili na makaravati kwa sh. 153,130,000 ambapo
daraja la Kiwalamo pekee limegharimu gharama ya sh. milioni 108 na tunashukuru
kazi hizo zimeweza kukamilika kwa muda mwafaka ambao ulipangwa na kukubaliana
na wakandarasi na kuzikamilisha”, alisema Guninita
Chanzo: Majira
0 comments:
Post a Comment