Home » » TUSHIRIKIANE KUOKOA MAISHA YA MTOTO HUYU..

TUSHIRIKIANE KUOKOA MAISHA YA MTOTO HUYU..




Mtoto Juliana Mwinuka wa kijiji cha Mbugani kata ya Mavanga wilayani Ludewa mkoa wa Njombea amekuwa akiishi kwa mateso makubwa kutokana na tatizo la kuungua kwa moto katika paji lake la uso kama anavyoonekana ,mtoto huyo kwa sasa anafikisha miaka miwili kwa mateso kama haya .

Watanzania na wadau wa mtandao huu popote duniani tuungane kumchangia fedha za matibabu binadamu mwenzetu huyo ambaye kwa sasa hana msaada wowote .

Kwa yule aliyeguswa kumchngia waweza kutuma fedha zako kwa njia ya M-Pesa 0754 026299 namba ya mmiliki wa mtandao huu

1 comments:

Anonymous said...

Mpesa ni kwa huko bongo lakini watu wa nje watawasiliana na nani? ili kumsaidia huyu mtoto! so sad.

 
Powered by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Iringa Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa