Home » » MWENYEKITI WA CHADEMA MKOA WA IRINGA AFARIKI DUNIA KWA AJALI.

MWENYEKITI WA CHADEMA MKOA WA IRINGA AFARIKI DUNIA KWA AJALI.

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.

Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Iringa Ndg.Sinkala Mwenda amepata ajali jana jioni eneo la Tanangozi na kukimbizwa Hospitalini kwa ajili ya matibabu. 

Alifariki dunia muda mfupi wakati madaktari wakijitahidi kuokoa uhai wake. Pumzika kwa amani Kamanda Sinkara.! Habari zaidi tutaendelea kuwapatia.

Chanzo G Sengo

0 comments:

 
Powered by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Iringa Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa