Home » » BREAKING NEWS: AJALI MBAYA YATOKEA MAFINGA IKILIHUSISHA BASI LA MAJINJA NA LORI LA MIZIGO, WENGI WAHOFIWA KUPOTEZA MAISHA

BREAKING NEWS: AJALI MBAYA YATOKEA MAFINGA IKILIHUSISHA BASI LA MAJINJA NA LORI LA MIZIGO, WENGI WAHOFIWA KUPOTEZA MAISHA

 Breaking News: Just in kwa Taarifa tulizopokea muda huu na ambazo hazijathibitishwa kuwa Basi la Majinja Limepata ajali eneo la Mafinga likitokea Mbeya na inahofiwa watu wengi kupoteza maisha. chanzo mpaka sasa inasemekana ni Lori lilikuwa linakwepa mashimo ,na ndipo likagongana uso kwa uso na Basi hilo Taarifa kamili na Tukio katika Picha zitafuata mara baada ya kupata uhakika kamili endelea kufuatilia hapa, Tayari Kikosi kazi cha Blogs za Mikoa kipo eneo la tukio.
Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.

0 comments:

 
Powered by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Iringa Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa