Home » » Mahmoud Mgimwa ametoa neema ya umeme katika jimbo lake

Mahmoud Mgimwa ametoa neema ya umeme katika jimbo lake



Mbunge wa jimbo la mufindi wa kasikazini ambaye pia naibu waziri wa maliasili na utalii Mahmoud Mgimwa  
Mbunge wa jimbo la mufindi wa kasikazini ambaye pia naibu waziri wa maliasili na utalii Mahmoud Mgimwa akiwa na mkuu wa wilaya wa mufindi.
Mbunge wa jimbo la mufindi wa kasikazini ambaye pia naibu waziri wa maliasili na utalii Mahmoud Mgimwa akiwa amevalia 


Na Amina Hezron, Iringa.

Vijiji 31 vilivyopo mufundi kaskazini mkoani Iringa vinatarajia kupokea umeme na tayari baadhi ya vijiji vipo katika hatua ya mwisho ya kufunga vikombe kwaajili ya kuanza kuvuta nyaya.
Akizungumza na mwandishi wetu katibu wa mbunge wa jimbo la mufindi kaskazini ambae pia ni naibu waziri wa maliasili na utalii Babtist Mdende amesema kuwa, vijiji vinavyotarajia kupata umeme safari hii ni vile vijiji vilivyopo tarafa ya sadani,ifwagi na kibengu.

vijiji hivyo ni mapogoro, igomaa,kibada,ndolezi na vengine kama ugesa,vikula,ilasa na kipanga ambavyo upimaji bado unaendelea kwaajili ya kusimika nguzo, 
 
kunabaadhi ya vijiji vipo katika hatua ya awali ya kusimamisha nguzo ikiwepo kijiji cha Isalavanu ambacho mradi wake wa umeme unashughulikiwa na TANESCO wilaya ya mufindi”, alisema Mdende.

Aidha Mdende ameeleza kuwa kwa wale watakao ingazwa kwa mara ya kwanza yaani watu wa kwanza wakati wa kuzindua mladi wa umeme wataingiziwa kwa gharama ya shilingi elfu 30
Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.

0 comments:

 
Powered by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Iringa Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa