Home » » BREAKING NEWS TUKIO KATIKA PICHA: MTU MMOJA AUAWA PAPO HAPO KWA KUCHOMWA NA KISU KISA WALIKUWA WANADAIANA TSH 5,000, KITUO CHA MABASI IRINGA

BREAKING NEWS TUKIO KATIKA PICHA: MTU MMOJA AUAWA PAPO HAPO KWA KUCHOMWA NA KISU KISA WALIKUWA WANADAIANA TSH 5,000, KITUO CHA MABASI IRINGA

 Tunaomba Radhi kwa picha.
 Tukio tulilopokea muda mchache uliopita mtu mmoja ambaye jina lake halijafahamika amemuua mwenzake kisa walikuwa wanaiana Shilingi Elfu tano... Tunaendelea kufuatilia tukio zaidi .. endekea kufuatilia hapa hapa.
 Kijana huyo ambaye jina halijafahamika akiwa amefariki baada ya Kuchomwa kisu na mwenzake kisa madai ya Tsh 5000 tuu
Mamia ya watu wakiwa wanashuhudia tukio hilo.

Picha na Iringa yetu Blog

0 comments:

 
Powered by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Iringa Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa