Home » » BASI LA ABOOD LAPINDUKA MAFINGA NA KUSABABISHA MAJERUHI 30

BASI LA ABOOD LAPINDUKA MAFINGA NA KUSABABISHA MAJERUHI 30











Ajali hii imetokea saa kumi jioni Jana hakuna aliyepoteza maisha majeruhi zaidi ya 30 wamekimbizwa katika hospitali ya Mafinga kwa taarifa zaidi endelea kufuatilia mtandao huu.
Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.

1 comments:

Unknown said...

Nasikitika sana kusikia hivyo lakini jamani madereva tunaomba muwe mnakuwa wa angalifu barabarani msije kupoteza roho za watu tufuate sheria za barabara katika kila kifungu cha sheria kupitia jeshi la usalama barabarani na vifungu vyake,inauma hii ni mara pili sasa basi la abood kupata ajari mkoanai iringa ku nani? tafadhari wengine baado wanategemewa hivyo pale ambapo una msababishia ulemavu wa aina yoyote ile tayari una muweka kwenye hali ngumu ya kimaisha na namna gani anweza kuimudu familia yake. Poleni wale waliokutwa na majeraha mungu awasaidie.

 
Powered by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Iringa Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa