Home » » MAJANGA CHADEMA JIMBO LA IRINGA MJINI ,VIONGOZI WAKE KATA YA RUAHA WASEMA WAMECHOSHWA NA UBABAISHAJI WA MBUNGE MSIGWA WAREJEA CCM ,WAMPA TANO KABATI

MAJANGA CHADEMA JIMBO LA IRINGA MJINI ,VIONGOZI WAKE KATA YA RUAHA WASEMA WAMECHOSHWA NA UBABAISHAJI WA MBUNGE MSIGWA WAREJEA CCM ,WAMPA TANO KABATI

 Diwani  wa kata ya Mtwivila Vitus  Mushi akisaliama na wadau  leo
Mbunge Ritta Kabati  akisalimia  na maofisa wa  polisi  waliofika  kulinda  usalama katika mkutano  huo
viongozi  wa Chadema  waliohamia  CCM leo katika mkutano wa CCM kuimarisha chama uliofanyika mtaa wa Kwa mwagongo
Aliyekuwa  katibu kata ya Ruaha  Juma Kapalampya  kushoto  akikabidhi nyaraka ya siri ya Chadema na kadi 40 kwa katibu wa CCM mkoa Hasan Mtenga  leo ,kulia ni mbunge wa  viti maalum mkoa wa Iringa Ritta kabati
Katibu  wa CCM mkoa akiangalia nyaraka ya siri ya kuhujumu uchaguzi  mkuu iliyotolewa na Chadema taifa  ambayo imekabidhiwa kwake na aliyekuwa katibu kata wa Chadema kata ya  Ruaha
Baadhi ya  nyaraka za  Chadema na kadi
Makada  wa  Chadema  waliojiunga na CCM Iringa mjini  wakila kiapo
Chanzo: Father Kidevu Blog

0 comments:

 
Powered by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Iringa Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa