Home » » BREAKING NEWS: BASI LA ABOOD LIKITOKEA DAR ES SALAAM KUELEKEA MBEYA LAPATA AJALI ENEO LA SAO HILL MAFINGA MUDA HUU

BREAKING NEWS: BASI LA ABOOD LIKITOKEA DAR ES SALAAM KUELEKEA MBEYA LAPATA AJALI ENEO LA SAO HILL MAFINGA MUDA HUU

 BASI LA ABOOD LIKIWA LIMEPINDUKA

 ABIRIA WAKIWA WAMETOKA NJE BAADA YA AJALI KUTOKEA
HIVI NDIVYO BASI LA ABOOD LILIVYO PINDUKA 

******
Basi la Abiria la Abood lililokuwa linatokea Dar es salaam kuelekea Mbeya Limepata Ajali Jioni Hii eneo la Msitu wa Sao Hill Mafinga Mkoani Iringa, Chanzo cha ajali hiyo hakija Fahamika mara moja, Na abiria wote waliokuwemo katika Basi hilo Wamenusurika. 




1 comments:

Anonymous said...

mbona hamna tarehe?tutajua ni ya lini?....polen sana ndungu

 
Powered by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Iringa Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa