Home » » CASTLE LAGER SUPER FANS SITA WAPATIKANA, KUPIGIWA KURA KUWAPATA WAWILI.

CASTLE LAGER SUPER FANS SITA WAPATIKANA, KUPIGIWA KURA KUWAPATA WAWILI.



Meneja wa bia ya Castle Lager Kabula Nshimo (kushoto) akimkabidhi jezi Denis Mlowe kutoka Iringa ambaye ni miongoni mwa washindi sita wa shindano la kuwasaka mashabiki bomba 2 (Castle Lager Super Fans) watakaoungana na mashabiki wengine wa kinywaji hicho maeneo mbalimbali kwenda kushuhudia fainali za Afrika hapo mwakani nchini Afrika Kusini. Washindi hao watapigiwa kura ili kuwapata wawili watakaowakilisha Tanzania kwenye michuano hiyo.
Washindi wakiwa na jezi zenye majina yao mara baada ya kutambulishwa mbele ya waandishi wa habari.
Washindi wote kwa majina yao na sehemu wanazotoka ni Stephen Chuma-Dar es Salaam, John Mosha Dar es Salaam, Firbert Nestory Dar es Salaam, Charles Mbaza Arusha, Denis Mlowe na Yahya Hamza
Kabula akizungumza na waandishi wa habari (hapo pichani) wakati akiwatambulisha washindi hao (kulia) ambao watapigiwa kura ili kuwapata wawili kwenda kuwakilisha Tanzania kwenye kushangilia fainali hizo za Afrika.

0 comments:

 
Powered by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Iringa Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa